+255 788889803
SW | EN
Sajili Sasa kwa Muhula Mpya

Mwangaza wa Elimu na Mustakabali Mwema

Karibu ELOHIM UNIVERSITY OF AFRICA (EUA). Tunatoa elimu bora ya nadharia na vitendo ili kukuandaa kikamilifu na huduma pamoja na soko la ajira.

78+
Watembeleaji
2
Mitaala na Kozi Zinazotolewa
50+
Picha za Matukio Yetu
Elimu yenye Maadili

Kuhusu ELOHIM UNIVERSITY OF AFRICA (EUA)

Sisi ni Nani?

Elohimu University of Africa ni taasisi ya elimu ya juu iliyosajiliwa rasmi ikilenga kutoa mafunzo yenye viwango vya juu vya ubora nchini Tanzania. Tumejikita kwenye kuwajengea wanafunzi wetu uwezo wa kitaaluma, kiroho, na uongozi bora uliotukuka.

ELOHIM UNIVERSITY OF AFRICA TUNAMINI Kwamba kuna Mungu mmoja mwenye enzi ya milele katika Utatu: Mungu Baba,Mungu Mwana,na Mungu Roho Mtakatifu. (Kumb. 6:4; Mk. 12:29; Mt 28:19; 2 Kor. 13:14).

Dira Yetu (Vision)

"Kuwa chuo bora balaani Africa kinachozalisha wataalamu au watumishi wa Kimungu wenye ubunifu na wenye maadili kwaajili ya kuongoza mataifa."

Dhima Yetu (Mission)

"Kutoa elimu bora na inayoendana na mabadiliko ya kiteknolojia na mahitaji ya jamii.mafunzo ya vitendo"

Mitaala na Kozi Zinazotolewa

Bonyeza kifungo kuchagua ngazi ya masomo unayotaka kuona mchanganuo wake

Certificate Level

Orodha ya Masomo (Kozi 13)

1

Introduction to Bible

2

Old Testament Survey

3

New Testament Survey

4

Christology

5

Hermeneutics

6

Church History I

7

Homiletics

8

Leadership

9

Evangelism and Church Planting

10

Family and Home Life

11

Acts of the Apostle

12

Pastoral Ministry

13

Field Practicum (Mafunzo kwa Vitendo)

Habari na Matukio ya Karibuni

Fuatilia matukio, taarifa na habari mpya kutoka ELOHIM UNIVERSITY OF AFRICA (EUA)

Picha za Matukio Yetu

Angalia baadhi ya picha za matukio, mahafali na maisha ya chuo

Jiunge na Jarida Letu

Pata taarifa mpya, matukio na habari moja kwa moja kwenye email yako.