Karibu Elohimu College Tanzania. Tunatoa elimu bora ya nadharia na vitendo ili kukuandaa kikamilifu na huduma pamoja na soko la ajira.
Elohimu College Tanzania ni taasisi ya elimu ya juu iliyosajiliwa rasmi ikilenga kutoa mafunzo yenye viwango vya juu vya ubora nchini Tanzania. Tumejikita kwenye kuwajengea wanafunzi wetu uwezo wa kitaaluma, kiroho, na uongozi uliotukuka.
"Kuwa chuo kiongozi nchini Tanzania kinachozalisha wataalamu wabunifu na wenye maadili mema."
"Kutoa elimu bora na mafunzo ya vitendo yanayoendana na mabadiliko ya kiteknolojia na mahitaji ya jamii."
Bonyeza kifungo kuchagua ngazi ya masomo unayotaka kuona mchanganuo wake
Introduction to Bible
Old Testament Survey
New Testament Survey
Christology
Hermeneutics
Church History I
Homiletics
Leadership
Evangelism and Church Planting
Family and Home Life
Acts of the Apostle
Pastoral Ministry
Field Practicum (Mafunzo kwa Vitendo)